Shirika la msalaba mwekundu laongoza zoezi la kutoa damu

  • | Citizen TV
    206 views

    Kama njia moja ya kukabili uhaba wa damu Katika hospitali mbali mbali kaunti ya Kajiado Idara kusambaza damu katika hospitali ya rufaa ya Kajiado kwa ushirikiano na shirika la msalaba mwekundu inaendeleza kampeni ya siku tano ya utoaji wa damu mjini Kajiado.