Wakazi wa Mumoni huko Mwingi kaunti ya Kitui wakosa umeme

  • | Citizen TV
    141 views

    Wakazi wa wadi ya Mumoni huko Mwingi kaunti ya Kitui wanaitaka selikali kupitia kwa wizara ya kawi kuwasambazia umeme.