Kitoweo cha sikukuu.

  • | BBC Swahili
    194 views
    Upatikanaji wa kitoweo nchini Tanzania na kwingineko Afrika ya mashariki huwa ni washida nyakati za sikukuu za mwisho wa mwaka kutokana na uhitaji mkubwa unaokuwepo wakati huo. - Ongezeko hili humaanisha pia ongezeko la bei nakuwanyima baadhi ya watu wasio na uwezo nafasi ya kufurahia sikukuu kwa namna ambayo wangependa. - Je wewe unapenda kitoweo gani msimu huu wa sikukuu na upatikanaji wake ukoje? - 🎥: @eagsnsalla_gifted_sounds - - - #bbcswahili #tanzania #sikukuu #kristimass #nyama Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw