Hakiki ya haki

  • | NTV Video
    1,005 views

    Takriban miezi sita baada ya maandamano dhidi ya serikali mwezi Juni mwaka huu, maandamano yaliyoongozwa na vijana, ambayo yalishuhudia makumi ya vijana wakiuawa, mwangwi wa maandamano hayo bado unaendelea kugusa nyoyo za familia nyingi, huku zikiendelea kutafuta haki kwa wapendwa wao waliouawa kwa njia ya utata.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya