- 14 viewsKwa kuenea kwa taarifa za uongo kwenye mitandao ya kijamii, waandishi wa habari nchini Msumbiji wako mstari wa mbele katika kupambana na upotoshaji na taarifa za uongo. Hapa katika chumba cha habari cha Evidencias, mjini Maputo, Msumbiji, Reginaldo Tchambule na timu yake wanafanya kazi ya kuweka rekodi sawa katika jitihada za kupambana na upotoshaji na taarifa za uongo. Yeye na mwenzake Nelson Mucandze, wanasema walianzisha pamoja gazeti na lile la mtandaoni miaka minne iliyopita kwa sababu mashirika mengine mengi hayakuwa yakikagua ukweli au kutumia taarifa na uchambuzi katika kuripoti kwao. Tchambule anasema hadhira yao ilianza kufuatilia kwa haraka. Reginaldo Tchambule, Evidencias Editor anaeleza: “Gazeti la Evidencias linaweza kuwa limepata muonekano na umaarufu mkubwa katika muda mfupi, kwa sababu ya jinsi tulivyozingatia uandishi wa habari wenyewe. Wakati fulani tulikuwa na ukurasa ambapo tulichunguza habari kuu zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii.” Mwaka huu, Tchambule aliripoti kwa nini Ossufo Momade, kiongozi wa Renamo, chama kikuu cha upinzani cha Msumbiji, hajaonekana hadharani kwa wiki kadhaa wakati wa kampeni za urais. Evidencias ilianza kuchunguza picha kwenye mtandao wa Facebook wa mgombea ambapo ilionekana Momade alikuwa akifanya kazi nje ya nchi. Ripoti ya Amarilis Gule VOA Maputo. #habaripotofu #msumbiji #maputo #chumbachahabari #Evidencias #gazeti #reginaldotchambule #voa #voaswahili
Nchini Msumbiji waandishi waongeza juhudi kukabiliana na habari potofu
- 24 Dec 2024 - Gaps between Israel and Hamas over a possible Gaza ceasefire have narrowed, according to Israeli and Palestinian officials' remarks on Monday, though crucial differences have yet to be resolved.
- 24 Dec 2024 - Germany searched on Monday for answers on possible security lapses after a man drove his car into a Christmas market, killing at least five people and casting a renewed spotlight on security and immigration ahead of a snap election.
- 24 Dec 2024 - Syrian church leaders are advising Christians to scale back Christmas celebrations this year, despite assurances from the Islamists who have just taken power that they are free to practise their religion.
- 24 Dec 2024 - Developing states and labour activists are looking forward to next year’s United Nations Climate Conference (COP30) in Brazil, for the realisation of a just transition from fossil fuels. Disappointed at the setback early this month during COP29 in Baku…
- 24 Dec 2024 - U.S. President Joe Biden on Monday commuted the sentences for 37 out of 40 federal inmates on death row, converting them to life in prison without parole before he hands over power to President-elect Donald Trump on Jan. 20.
- 24 Dec 2024 - But the impact went far beyond giveaways. The campaign invigorated local economies, sourcing livestock and poultry directly from local traders and ensuring broad economic benefits for communities. Markets buzzed with activity during roadshow stops,…
- 24 Dec 2024 - Citizen TV spoke to some of the victims whose lives were irreversibly changed by the protests that resulted in at least 60 deaths and 26 disappearances.
- 24 Dec 2024 - A day after Citizen TV highlighted the abduction of Peter Muteti for allegedly posting an AI generated picture offensive to President William Ruto another family in Embu has come out demanding for the release of their son, Billy Mwangi, who was…
- 24 Dec 2024 - US Fed rate cut: Why it matters to Kenya, the world
- 24 Dec 2024 - Gen Z uprising: Reflections of foot soldiers six months later