Tamasha Ya Muziki Yandaliwa Na Serikali Ya Kaunti Ya Murang'a

  • | TV 47
    109 views

    Wasanii wa muziki wameangazia changamoto wanazokabiliana nazo, na kuitaka serikali kuandaa tamasha za muziki katika maeneo mbalimbali wakisema hii ni njia ya kujivunia kwa tamaduni tofauti.

    Walizungumza haya wakati wa tamasha ya muziki wa kitamaduni iliyoandaliwa na Serikali Ya Kaunti Ya Murang'a katika uwanja wa Gatunyu eneobunge la Gatanga.

    #TV47Matukio

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __