Mradi Wa Kutoa Maji Kutoka Kijiji Cha Awach Yatarajiwa Kuleta Mabadiliko

  • | TV 47
    12 views

    Wakazi Katika Eneo La Seme Kaskazini, Katika Kaunti Ya Kisumu huenda wakanufaika iwapo mradi wa maji uliozinduliwa na Waziri Wa Fedha John Mbadi katika kijiji cha Awach utakamilika.

    Ni mradi ambao umezindulia kwa awamu ya kwanza katika mto Awach katika eneo la Seme Kaskazini.

    #TV47Matukio

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __