Watu saba wafariki huku wengine wakijeruhiwa katika ajali iliyotokea eneo la Narok-Mai Mahiu

  • | K24 Video
    725 views

    Watu saba wamefariki huku wengine wakijeruhiwa katika ajali iliyotokea eneo la Ntulele kwenye barabara ya Narok-Mai Mahiu. Ajali hiyo ilihusisha magari sita pamoja na boda boda.