Mutahi Kagwe Kupigwa Msasa; Usaili Wa Wateule Katika Baraza La Mawaziri Kufanyika Januari 2025

  • | TV 47
    409 views

    Usaili Wa Wateule Katika Baraza La Mawaziri Kufanyika Januari 2025

    Aliyekuwa Waziri Wa Afya Mutahi Kagwe, gavana wa kwanza wa Kiambu William Kabogo na gavana wa pili wa Nakuru Lee Kinyanjui ambao ni wateule wapya wa Rais William Ruto katika nyadhifa mbalimbali za baraza la mawaziri wameratibiwa kupigwa msasa na wabunge kuanzia tarehe 9 hadi 14 januari, mwaka ujao.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __