Wakazi Wa Nyandarua Waandamana Kulalamikia Kunyanyaswa Na KFS

  • | TV 47
    36 views

    Wakazi Wa Nyandarua Waandamana Kulalamikia Kunyanyaswa Na KFS

    Wakazi wanaofanya kazi ya ukulima katika msitu wa Kahurura mjini Nanyuki Kaunti Ya Laikipia wameandamana na kufunga barabara kuu ya kutoka Nanyuki hadi Nairobi wakitaka Idara Ya Misitu Ya Kenya (KFS) kuingilia kati na kuhakikisha haki inatendeka kuhusiana na uongozi wa msitu huo. Wanji Sostine huyu hapa, na mkusanyiko wa kaunti

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __