Je malengo yako yametimia 2024 au tukutane 2025?

  • | BBC Swahili
    387 views
    "Kuna baadhi ya vitu nilikuwa natamani niwe navyo mwaka huu" Aslam @aslam__tz ni msanii wa muziki kutoka nchini Tanzania ambaye amekuwa akitamba na wimbo wake wa 'Tukutane Mwakani' Scolar Kisanga @scolar_kisanga amefanya mahojiano na Aslam #bbcswahili #tanzania #muziki Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw