Tazama familia zilivyoungana tena katika kubadilishana wafungwa

  • | BBC Swahili
    662 views
    Urusi na Ukraine zilibadilishana mamia ya wafungwa wa kivita katika makubaliano yaliyosimamiwa na Umoja wa Falme za Kiarabu. - Wizara ya ulinzi ya Urusi imesema imebadilisha wanajeshi 150 wa Ukraine waliokuwa mateka kwa idadi sawa ya wanajeshi wa Urusi. - Waukraine walioachiliwa waliungana tena na wapendwa wao katika eneo moja kaskazini mwa nchi. - - - #bbcswahili #ukraine #urusi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw