Shule ya Hillside Endarasha yafungua milango yake kwa wanafunzi baada ya kutekeleza matakwa yote

  • | Citizen TV
    215 views

    Shule ya Hillside Endarasha imefungua tena milango yake kwa wanafunzi baada ya kutekeleza matakwa yote ya kiusalama yaliyowekwa na wizara ya elimu. Wazazi na wanafunzi wamerejea shuleni humo baada ya mkasa wa moto uliosababisha vifo vya wavulana 21 huku wakiwa na matumanini kuwa shule hiyo itaendelea kutamba kama ilivyo ada yake.