Wazazi katika ukanda wa Pwani wahimizwa kuwasaidia watoto wao kukuza vipaji

  • | Citizen TV
    366 views

    Wazazi katika ukanda wa pwani wamehimizwa kuwasaidia watoto wao kukuza vipaji huku wanamuziki wa nyimbo za injili Pwani wakiiomba serikali kuwasaidia kufadhili shughuli zao.