Jamii za wafugaji za Gabra na Daasanach zakubaliana kumaliza uhasama kati yao

  • | Citizen TV
    137 views

    Jamii za wafugaji za Gabra na Daasanach zinazoishi Dukana na Illeret huko North Horr kaunti ya Marsabit zimekubaliana kumaliza uhasama kati yao.