Wadau wa sekta ya elimu wahimiza serikali kushughulikia changamoto zinazokumba CBC

  • | KBC Video
    6 views

    Wadau wa sekta ya elimu wamehimiza serikali kuchukua hatua za haraka kushughulikia changamoto zinazokumba utekelezaji mtalaa wa elimu ya umilisi yaani CBC. Wakiongozwa na mwalimu mkuu wa shule ya Brilliant Diamond Joseph Mureithi, wadau hao wamesema uhaba wa vifaa vya masomo hasa katika shule za kibinafsi umetatiza utekelezaji wa mfumo wa CBC. Wadau hao wamesema iwapo suala hilo halitashughulikiwa huenda likatatiza sekta hiyo. Wakiongea katika shule ya Brilliant Diamond School iliyoko eneo la Juja kaunti ya Kiambu wadau hao hata hivyo walisifia mtalaa huo wakisema utaleta mabadiliko katika sekta ya elimu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive