Wakaazi wa Pokot Kusini walalamikia ukosefu wa nguvu za umeme katika eneo hilo

  • | Citizen TV
    169 views

    Wakazi wa kijiji cha Tirken, eneo bunge la Pokot Kusini, kaunti ya Pokot Magharibi, wamelalamikia ukosefu wa nguvu za umeme katika eneo hilo. hali hiyo imeathiri pakubwa shughuli za matibabu, ikiwemo akina mama kujifungua pamoja na uhifadhi wa dawa. Collins Shitiabayi alizuru kijiji hicho na hii hapa taarifa yake.