Kesi ya Utekaji Nyara: Douglas Kanja akosa kufika kotini kama alivyoagizwa

  • | Citizen TV
    2,345 views

    inspekta mkuu wa polisi Douglas Kanja amekosa kufika mahakamani kama alivyoagizwa na korti kujibu maswali kuhusu visa vya utekaji nyara nchini. chama cha mawakili nchini LSK kilimshtaki inspekta jenerali kwa kushindwa kuzima visa hivyo na kuitaka mahakama imshurutishe Kanja kuwatoa vijana waliotekwa nyara.