Viwanda, wakulima washabikia sheria mpya za sukari

  • | TV 47
    19 views

    Viwanda, wakulima washabikia sheria mpya za sukari.

    Wasema kuundwa kwa Bodi ya Sukari kutafaidi wakulima na viwanda.

    Rais alitangaza kuwa serikali haitaagiza sukari mwaka huu, 2025.

    Wizi wa miwa unayumbisha viwanda vya sukari.

    Katika miaka ya awali Kenya imekuwa ikiagizia sukari kutoka nje.

    Wito wa ushirikiano baina ya Serikali ya Kitaifa, kaunti na viwanda watolewa.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __