Makachero wamkamata mfanyakazi raia wa Uganda kwa kumruhusu jambazi Eastleigh

  • | NTV Video
    25,268 views

    Makachero wamemkamata mfanyakazi wa nyumbani raia wa Uganda ambaye alinaswa na kamera za CCTV akimruhusu jambazi kuingia nyumbani alimokuwa anafanya kazi Eastleigh Nairobi miezi miwili iliyopita.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya