Koome Ata Koma? Aliyekuwa Inspekta Jenerali Japhet Koome Apatikana Na Hatia

  • | TV 47
    2,000 views

    Koome Ata Koma? Aliyekuwa Inspekta Jenerali Japhet Koome Apatikana Na Hatia

    Mahakama imempata na hatia Aliyekuwa Inspekta Jenerali Wa Polisi Japheth Koome kwa kutumia mamlaka aliyokuwa nayo kuwaamuru maafisa wa polisi kutumia nguvu kupitia kiasi wakati wa maandamano ya wahudumu wa afya mwezi Aprili mwaka jana.

    Jaji Jairus Ngaa wa Mahakama Kuu katika uamuzi wake anasema kwamba Koome atawajibika.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __