Jinsi ya kupata matokeo ya KPSEA

  • | K24 Video
    62 views

    Baraza la mitihani ya kitaifa limewasilisha matokeo ya kitaifa ya gredi ya 6 ya KPSEA. Ila hayo yakijiri,baadhi ya wazazi hawana ufahamu wa kuelewa matokeo hayo na jinsi yatakavyochangia katika matokeo ya gredi ya 9.Jinsi wazazi wanavyoweza kufikia matokeo haya.