Upinzani wa wanainchi wamtia Rais Ruto kiwewe

  • | K24 Video
    3,752 views

    Kenya inaweza kukumbwa na maandamano mengine makubwa ikiwa serikali ya Kenya kwanza haitajitahidi kushughulikia changamoto za kisiasa na kiuchumi zinazoikumba mwaka huu wa 2025. Wachambuzi wa siasa wanasema kuwa Rais itabidi amekuwa makini na kuweka mikakati kiuchumi na kisiasa ili kukabiliana na upinzani mkali uonaomkumba. Changamoto zinazoweza kutikisa utawala wa Rais William Ruto mwaka huu.