Je wasichana wa zama hizi hupevuka mapema kuliko ilivyokuwa zamani?

  • | BBC Swahili
    163 views
    Nchini Marekani, hedhi sasa inakadiriwa kuanza mapema zaidi kuliko ilivyokuwa karne moja iliyopita. Nchini India, wasichana wenye umri mdogo hadi wa miaka sita wameanza kuonyesha dalili za hedhi au mabadiliko ya mwili kama kupevuka. Je, huu ni mwelekeo wa kimataifa? na ni nini kinachosababisha hali hii? #bbcswahili #india #marekani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw