"Sina chuki hata moja na Lissu, hata nikikutana naye nitamkumbatia"

  • | BBC Swahili
    47,974 views
    Katika sehemu hii ya pili ya mahojiano maalum na Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe, kiongozi huyo wa siasa anamueleza mwandishi wa BBC Sammy Awami ni kitu gani atakifanyia chama chake ikiwa atachaguliwa. Mbowe anaweka wazi pia kile anachoamini kuwa changamoto kubwa inachokikabili chama hicho kikuu cha upinzani nchini Tanzania. Je nini kitatokea atakapokutana na mpinzani wake mkubwa wa nafasi hiyo Tundu Lissu? #bbcswahili #chadema #tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw