Waziri Justin Muturi asema idara ya ujasusi ilihusika katika kutekwanyara kwa mwanawe

  • | Citizen TV
    14,980 views

    NIS walimteka mwanangu. Ni kauli ya waziri wa utumishi wa umma Justin Muturi ambaye amepasua mbarika kuhusiana na utekaji nyara wa mwanawe leslie muturi. Muturi ameelezea kwa kirefu mahangaiko yake ya kutafuta majibu kutoka kwa asasi mbalimbali za usalama bila mafanikio mwanawe alipotekwa.