Sulwe FM yashirikiana na Naitiri Sugar kuhamasisha wakulima

  • | Citizen TV
    252 views

    Kituo cha sulwe FM mojawapo ya radio zinazomilikiwa na kampuni ya royal media services Kwa ushirikiano na kampuni ya sukari ya naitiri inayomilikiwa na kampuni ya west Kenya sugar waliandaa hafla ya kuwasajili wakulima wa miwa maeneo ya bokoli webuye magharibi