Serikali ya kaunti ya Laikipia yahimiza wakaazi kupanda kahawa

  • | Citizen TV
    168 views

    Serikali ya Kaunti ya Laikipia imeanzisha mpango wa kubadilisha kaunti hiyo kuwa eneo la kuzalisha kahawa.