KUPPET yalaumu wazazi wanaoandamana kutokana na matokeo duni ya KCSE Busia

  • | Citizen TV
    306 views

    Katibu Mkuu Wa Chama Cha Walimu Wa Shule Za Upili Na Vyuo Anuai (KUPPET) Kaunti Ya Busia Moffats Okisai Amelaani Vikali Baadhi Ya Wazazi Wa Shule Mbalimbali Za Upili Ambao Wanaandmana Kwa Kulaumu Walimu Kufuatia Matokeo Duni Ya Kcse. Akizungumza Katika Eneo La Ochude Teso Kusini, Okisai Amesema Kuwa Ni Wajibu Wa Wazazi Kushirikiana Na Walimu Ili Kuwezesha Wanafunzi Kusajili Matokeo Bora Katika Mitihani Ya Kitaifa Badala Ya Kuelekeza Lawama Kwa Walimu.