MCK yaandaa uhamasisho kwa wanahabari

  • | Citizen TV
    164 views

    Baraza la wanahabari nchini - MCK- limeanzisha mchakato wa kutoa hamasisho kwa wanahabari eneo la Gusii kuhusiana na maswala ya usalama wao wanapoendelea kutekeleza wajibu wao katika jamii. kikao hicho kinawaleta pamoja wanahabari kutoka Kisii ba Nyamira na linalenga kuimarisha utendakazi wa wanahabari kwa kutoa mafunzo kuhusu mbinu za kisasa za kujilinda kisheria wanapoendelea na majukumu yao.