Seneti yaraiwa kuidhinisha mswada wa vyama vya ushirika

  • | Citizen TV
    92 views

    Katibu Wa Wizara Ya Vyama Vya Ushirika Patrick Kilemi Amelitaka Bunge La Seneti Kuharakisha Kuidhishwa Kwa Mswada Wa Vyama Vya Ushirika Mwaka 2024 Akisema Utawezesha Uongozi Bora Na Kudhibiti Sekta Hiyo.