Mwanamke auawa na mpenziwe kijijini Kavaida huko Nandi

  • | Citizen TV
    1,413 views

    Huzuni imetanda katika kijiji cha Kavaida kaunti ya Nandi baada ya binti mmoja kuuawa nyumbani kwao kwa njia ya kutisha. Winnie Akusuha aliuawa kwa kudungwa na kukatwa kwa kisu na mwanamume aliyetajwa kuwa mpenziwe, ambaye pia alijitoa uhai kwa kunywa sumu na kujidunga kisu. Haya yanajiri huku mwili wa mwanamke aliyetoweka Nyeri ukipatikana kisimani,