JSC yasema itashughulikia malalamishi dhidi ya majaji kwa haki

  • | KBC Video
    143 views

    Tume ya huduma za idara ya mahakama imesema itashughulikia kila kesi iliyowasilishwa dhidi ya majaji kulingana na mchakato na taratibu zilizoandaliwa kwa kuzingatia utawala wa sheria. Tume hiyo ilisema kuwa tangu mwanzoni mwa mwaka huu, kesi tano zimewasilishwa dhidi ya majaji akiwemo Jaji Mkuu Martha Koome.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive