Sammy Chepkwony atamrithi Lyn Mengitch kama mwenyekiti wa SRC

  • | KBC Video
    58 views

    Bunge la Kitaifa limeidhinisha kwa kauli moja kuteuliwa kwa wanachama wa tume ya mishahara na marupurupu SRC. Wakati wa mjadala wa kuangazia uteuzi wao wabunge waliwatahadharisha waliopendekezwa kutekeleza majukumu yao kama inavyotakiwa iwapo watateuliwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive