Familia za wazee wa MauMau zaendelea kushinikiza kufanikisha fidia ya mashujaa wa ukombozi wa taifa

  • | K24 Video
    76 views

    Familia za wazee wa MauMau zimeendelea kushinikiza serikali kufanikisha fidia ya mashujaa wa ukombozi wa taifa wengi wao wakiaga dunia na waliobaki wakiishi maisha ya uchochole. kuwepo kwa makundi mengi yanayotetea wanamaumau pamoja na mwingilio wa kisiasa kumetajwa kuwa vizingiti katika safari hii. Makundi haya yanayoshinikiza kutafutwa kwa mabaki ya Kimathi, sherehe ya ukumbusho wake ikitarajiwa mwezi ujao.