Huduma za matibabu katika hosipitali za umma Katika Kaunti Ya Bungoma zinaendelea

  • | Citizen TV
    206 views

    Huduma za matibabu bungoma zimetatizika wagonjwa wamelazimika kuhamia hospitali za kibinafsi baadhi ya wagonjwa wamelazimika kurejea nyumbani mgomo huo wa wauguzi ulianza siku ya jumatatu