Maafisa wanane wa zamani wa serikali ya kaunti ya Tana River wakamatwa

  • | KBC Video
    12 views

    Maafisa wa tume ya maadili na kukabiliana na ufisadi katika eneo la nyanda za juu za mwambao wa pwani wamewakamata waliokuwa maafisa wa serikali ya kaunti ya Tana River na mwanakandarasi mmoja kuhusu udanganyifu katika kukabidhiwa kwa zabuni ya shilingi milioni 9. Wakithibitisha kukamatwa kwa watu hao hatibu wa tume hiyo Eric Ngumbia alisema kuwa washukiwa watafikishwa mahakamani kushughulikia kesi za ufisadi katika mji wa Hola siku ya ijumaa

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive