Mabwawa ya matumaini Kwale

  • | Citizen TV
    1,103 views

    Tukisalia kwenye swala la maji ni kuwa, wakaazi wa Vanga eneo la Lungalunga kaunti ya Kwale huenda wakapata afueni ya tatizo sugu la maji baada ya kuzinduliwa kwa bwawa jipya eneo hili. Wakaazi sasa wakisema wana matumaini kuwa Bwawa hili la unyunyizaji maji la Waga Machame, litawapa utoshelevu wa chakula. Mary Muoki alikuwa Kwale na hii hapa taarifa yake