Jaji Heston Mbogo atoa onyo kwa viongozi wa Meru kuhusu matamshi ya kisiasa

  • | NTV Video
    498 views

    Jaji wa mahakama kuu ya Meru Heston Mbogo ametoa onyo kali kwa viongozi kutoka kaunti za Meru na Tharaka Nithi, akiwashauri dhidi ya kutoa matamshi ya kisiasa kuhusu kesi inayoendelea kuhusu kubuniwa kwa vitengo vipya vya utawala katika mpaka wa Meru na Tharaka Nithi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya