Rais Donald Trump atia saini maagizo mapya yatakayoongoza serikali yake

  • | K24 Video
    68 views

    Baada ya kula kipao kama rais wa 47 wa marekani hiyo jana, Rais Donald Trump alitia saini maagizo mapya yatakayoongoza serikali yake. trump, alidokeza marekani kujiondoa kwenye shirika la afya duniani(WHO)sawa na kusimamisha usaidizi wa kifedha kwa mataifa tofauti duniani. Maagizo hayo mapya na jinsi kenya na mataifa ya afrika yataathirika na maamuzi ya rais Donald Trump