Benjamin Tayari asema ushuru mpya wa 2025 utafaidi bandari ya Mombasa.

  • | NTV Video
    424 views

    Mwenyekiti wa bodi ya mamlaka ya bandari nchini Kenya Benjamin Tayari ameeleza kuwa ushuru mpya unaotarajiwa kutekelezwa kuanzia Aprili mw,aka huu wa 2025, unalenga kuwapa afueni watumiaji wa bandari ili kuboresha biashara za uchukuzi katika bandari ya Mombasa.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya