Watu wenye ulemavi wa macho kaunti ya Mandera wapokea mafunzo ya kidijitali

  • | Citizen TV
    191 views

    Watu wenye ulemavi wa macho kaunti ya Mandera sasa wataweza kufanya biashara na kutumia vifaa vya kidijitali ipasavyo baada ya kupokea mafunzo ya kuongeza ujuzi wao.