Kiambu yaajiri wauguzi 70 kutatua upungufu wa wafanyakazi hospitalini

  • | NTV Video
    259 views

    Kama njia moja ya kutatua matatizo ya upungufu wa wauguzi katika hospitali tofauti za kaunti ya Kiambu, serikali ya kaunti hio imewaajiiri wauguzi zaidi ya 70 watakaotumwa kutoa huduma za matibabu katika hospitali zote.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya