Polisi wanachunguza mauaji tata ya mwanamke Huruma

  • | Citizen TV
    5,114 views

    Maafisa wa upelelezi kutoka kituo cha Ruaraka hapa Nairobi sasa wanachunguza iwapo mshukiwa aliyekamatwa na vipande vya mwili wa mwanamke mtaani Huruma ana uhusiano wowote na uuzaji wa viungo vya binadamu au kuhusika kwenye madhehebu potofu. Polisi wanasema imekuwa vigumu kuelewa ni kwa nini mshukiwa huyo John Kiama Wambua alimuua mpenziwe na kumkata vipande