Mazishi Ya Bob Munro Kufanyika Jumanne Ijayo Kariokor, Nairobi

  • | TV 47
    14 views

    Mazishi Ya Bob Munro Kufanyika Jumanne Ijayo Kariokor, Nairobi

    Mazishi ya Mwenyekiti Wa Timu Ya Soka Ya Mathare United Bob Munro yatafanyika jumanne ijayo Kariokor, jijini Nairobi. Wachezaji wa klabu hii ya ligi kuu nchini walitoa rambirambi zao hii leo katika uwanja wao wa mazoezi wa Goan Institute.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __