Tamasha la mwaka mpya wa Kichina laandaliwa Nairobi

  • | KBC Video
    12 views

    Wakenya wamehimizwa kuzingatia mila zao na kuendeleza turathi za kitamaduni. Akizungumza wakati wa sherehe za sikukuu ya mwaka mpya wa Kichina, balozi wa Uchina humu nchini Guo Haiyan alisisitiza umuhimu wa kuishi kwa maelewano akisema tamasha hizo zinaashiria sherehe za maisha na matumaini. Sherehe rasmi itaandaliwa tarehe 29 mwezi huu, kulingana na kalenda ya jadi ya Kichina.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive