Afueni kwa wagonjwa baada ya matabibu kusitisha mgomo

  • | KBC Video
    32 views

    Chama cha matabibu (KUCO) kimesitisha mgomo wa wanachama wake kwa siku 21 katika kaunti 43 kuanzia Jumatatu ijayo. Maafisa wa chama hicho wanasema hatua hiyo itatoa fursa ya mashauriano baina yao na serikali katika lengo la kutatua tofauti zilizopo. Wakati huo huo, Kenya imepata chanjo muhimu za watoto na kukomesha na uhaba ulioshuhudiwa katika wiki za hivi majuzi. Dozi milioni 2.3 za chanjo ya kifua kikuu na dozi milioni 7 za chanjo ya ukambi ziliwasili nchini jana.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive