Wadau wapiga jeki elimu ya wafugaji Laikipia

  • | Citizen TV
    116 views

    Kwa Miaka Mingi Eneo La Laikipia Kaskazini Limekuwa Likigonga Vichwa Vya Habari Kwa Visa Vya Wizi Wa Mifugo, Ukeketaji Na Ndoa Za Mapema. Washikadau Katika Sekta Ya Elimu Kaunti Ya Laikipia Wakisema Mikakati Imewekwa Ili Kuhakikisha Jamii Hii Inawekeza Zaidi Kwenye Elimu Ili Kuwakomboa Kutokana Na Tamaduni Zilizopitwa Na Wakati.