Ruto amsuta Kalonzo kuhusu madai kuwa serikali ilitumia pesa za umma kulipa wakulima wa miwa

  • | Citizen TV
    11,379 views

    Rais William Ruto Amemsuta Kiongozi Wa Chama Cha Wiper Kalonzo Musyoka Kuhusu Madai Aliyoibua Hapo Jana Kwamba Serikali Ilitumia Fedha Za Serikali Kuwalipa Marupurupu Wakulima Wa Miwa Katika Kaunti Ya Kakamega Jumatatu Iliyopita. Ruto Akisema Bonasi Hiyo Ilitokana Na Faida Ya Kampuni Ya Mumias Na Kuwa Ni Hali Ya Kawaida Kwa Marupurupu Hiyo Kutolewa.