Wasimamizi wa chai na benki watishia kupunguza wafanyikazi kwa uchumi mbaya

  • | NTV Video
    130 views

    Wasimamizi wa wafanyikazi kwenye sekta ya majani chai na wanabenki nchini wametishia kupunguza wafanyikazi Katika viwanda vyao na kufunga baadhi ya viwanda kutokana na uchumi mbaya haswa mwanzoni mwa mwaka huu.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya